βTunakushukuru sana Jayrutty kwa kutuheshimisha kwa kwenda kutuletea brand ambayo inatambulika kimataifa na umeamua kutongezea thamani zaidi jezi ya Simba kwa kutuletea brand kubwa ya Diadora ili timu yetu kuendelea kufahamika zaidi.β- Semaji Ahmed Ally. #WenyeNchi#NguvuMoja