@kunta_wao @fatma_karume @humqntorch @MariaSTsehai Uchunguzi kufanyika miezi 2 umemsimamisha Kazi mtu, Let us be honest Uchunguzi wa kupigwa risasi Lisu leo miaka 2 bado unaendelea lakini hamna aliyewahi kuwajibishwa, is there any fairness? Kuna haja ya kujitafakari upya inawezekana kuna mahali tumekosea.
@tanzaniadaimatz Hata Mugabe alianza kuwa na fikra hizhizi matokeo yake ni kung'ang'ania madaraka. Namshauri asijisifu asubiri sisi tumpongeze anapofanya vizuri na anapovuruga atusikilize sisi tuliomfanya awe Raid kwa kura zetu
@nikkwapili She ria ipo wazi kabisa kwamba mwanafunzi hapaswi kumiliki Simu shuleni lakini my concern is suala hilo limewashinda walimu ambao ndio walezi Wa wanafunzi hadi wakaenda kushtaki kwa RC?Au RC alikuja vipi kuwaadhibu wanafunzi?