Wachezaji wako uwanjani, wanatakiwa shangiliwa na kutiwa moja, au kusikia nyimbo za kuunganisha Taifa.
Mara wanasikia Makonda heeeeeeeeeeeee
Samia a eheeeeeeeeeeeeee
Kwa hawa jamaa wao hata kushangiliwa lazima wavamie matukio? kwa nini wasitengeneza Band ( kwanza wanayo tot )
ambayo kazi yake ni kwenda Lumumba au ukumbi wowote wa CCM na kuimba nyimbo masaa 24 kumsifu samia wafanye kila siku, ikiwezekana wamuabudu kabisa hapo kila siku
Haya mambo mengine ya jamii waache Watanzania wawe na furaha ya kuyashangilia au kuyapokea bila huu uchuro, sio wachezaji wote wanampenda Makonda au Samia.
Uwa haya maujinga yakianza tunapigwa
@ADFmagazine ve toxic spill of heavy metals from Chinese-owned copper mine, threatens the health of civilian populations and wildlife along 1,500 km of a major Zambian river.
Abdul Razaq Hamza
Kwanza ni kijana mdogo mwenye maarifa makubwa ya mpira
Anacheza Beki ya kati au kiungo Mkabaji kwa ufanisi wa hali ya juu
Anaweza kucheza soka la kitabu kwa sababu amepitia kwenye makuzi sahihi ya soka lakini anaweza kucheza soka la kindava maana ni mtoto wa mjini msela
Kijana ana Expirence na Exposure, Expirience ya mpira wa Tanzania maana amecheza vilabu kadhaa na exposure ya kucheza Afrika kusini
Atatusaidia sanaaa