@privaldinho Nina amini kabsaa Wew n mtu wa Mpira , Yaan mpaka hapa Nafs yako inataka kusema Jambo juu ya Simba ila kwakuwa unatetea Ugari wako huna Namna, Matarajip ya Wachambuzi na Mashabiki wa Timu zngne hawakutarajia Hiki kilichotokea Jana Ila hii ndo maana harisi ya ampira wa MIGUU ,
@Getrude_mollel Dada mm sio mtu wa Siasa Ila usiitumie nguvu nying kuamisha watu Ujinga , Huo uwanja wa furahisha ilijaa watu ttz mnapiga picha kaeneo kasiko na watu pia picha hii n mda ambao ndo kwanza wanafunga Jukwaa, Isitoshe saiz watu washa stuka wanajua Kila kitu ,
@Mzeewajambia Kitu pekee mnacho feri wachambuz wetu n kuwapa watu heshima za uongo , Kwa ushar tu 95% watu wanaangalia mpira kweny TV hebu mjaribu kuwa mnaandika uharisia , Mambo a kusikiliza mpira redion yashapita, unaposema Single Pivot una maana Sure boy alikuwa Kipa au?
@privaldinho@Privaldino Bro bnafs naamn nyny ndo mnapambana kuturudisha tuliko Toka , Leo club zote hazsajili Kwa ajili ya flan kama nyny mnavyo dhan ,Simba inasajil Kwa mm nahtaj ya timu, vile vile Yanga wanafanya sajili Kwa ajili ya mahtaj ya club sio kwa ajili ya Simba au Azam,