@Amaniaman1980@Sativa255 Tena ingependeza sana hata hizi simba na yanga tungezi include na wasanii tukapotezea kabisa ball la bongo better tukaanza fatilia ball la mbele
@SimbaSCTanzania Acheni ushirikina muone kama kuna mtu atawasumbua! Team kila ikitembea mnawaza mambo ya hovyo tu! Mnadhani uchawi ndio sifa? Takataka nyie 🚮 🚮 🚮
@YoungAfricansSC Kama mnampango wa kutuua na pressure mseme! Ila sie tunataka mshike bunduki tuanze kutaftana kiume! Mlitukosea sana kumuacha gamondi huku msimu ukiwa unaendelea! Huyu mlomleta sshv ndio uozo kabisa hana anachokijua anakata mauno tu 🚮🚮🚮
@SimbaSCTanzania Asa hii ndio simba tunayoijua! Na msipofika final kama yanga mtakuwa hamna maana yoyote ya kuwa team ya mpira ni heri mfungue hata genge muwe nmauza hata mkongo