“Napendelea zaidi Mombasa kwa ajili ya kuanzisha kiwanda cha mafuta kwa sababu Mombasa ina bandari kubwa na yenye kina kirefu. Kenya pia ina matumizi makubwa na uchumi mkubwa zaidi. Mpira uko mikononi mwa Ruto, chochote atakachoamua ndicho nitakachofanya.” Bilionea Aliko Dangote
Ninawatakia Watanzania wote heri ya Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Muungano wetu ni lulu na urithi wa kipekee tulioupokea kutoka kwa waasisi wetu. Hivyo, nasi tuna wajibu wa kuutunza, kuulinda, na kuuimarisha ili tuurithishe kwa vizazi vijavyo ukiwa salama na imara kama tulivyoupokea.
Ninatoa wito kwa Watanzania kuendelea kushirikiana, kufanya kazi kwa bidii, na kuimarisha uzalendo wetu, ili tujenge Tanzania moja, imara zaidi, yenye umoja na maendeleo jumuishi kwa kizazi cha sasa na kijacho.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ubariki Muungano wetu.
Black History Month is a time to recognize the lived, shared experience of all Black folks who have fundamentally shaped, challenged, and ultimately strengthened America. It’s about taking an unvarnished look at the past so that we can create a better future. As we mark 100 years of celebrating Black history, let’s honor the sacrifices of the leaders who came before us, and recommit ourselves to continuing their work.
Herini ya Krismasi🥂
Sikukuu hii itukumbushe thamani ya upendo, mshikamano na matumaini mapya.
Vijana, nyinyi ndio nguvu ya leo, chachu na matumaini ya kesho. Tisikate tamaa, tuendelee kuota ndoto kubwa, kufanya kazi kwa bidii na kuamini uwezo uliopo kwetu.
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama. Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu, wananchi wa Jimbo la Peramiho, familia, ndugu, jamaa na marafiki.
Kwa miaka 38, Mheshimiwa Mhagama amekuwa mwanachama mahiri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiongozi wa vijana, kiongozi wa wanawake, waziri katika awamu mbalimbali na mnasihi wa wengi katika siasa na maisha.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Amina.
I had fun reading to some Burke Elementary students at the Chicago Public Library today. When the Obama Presidential Center opens next year, we’ll have a new branch of the library for the community to enjoy.
Obama aliruhusu wananchi wake wenye malalamiko, ushauri, matatizo na wanaotofautiana naye mawazo wamuandikie barua. Obama alikuwa anazisoma na kuzijibu, pia alitenga mpaka muda wa kwenda kuwaona na kula nao chakula cha pamoja huku wakijadili kwa kina zaidi na kupokea ushauri wao.
Baraza la kwanza la Mawaziri la Tanganyika ndilo baraza lililokuwa na viongozi wenye umri Mdogo kuwahi kutokea katika historia ya nchi za Madola. Wastani wa umri wa mawaziri ulikuwa ni miaka 37 tu. Baraza hili lilikuwa la vijana makini sana. Je unaweza kuwataja mawaziri hawa?
Obama alitoka ofisini akaenda kula lunch kwenye mgahawa unaoitwa Shake Shack. Wafanyakazi wa mgahawa huo wakafurahi kuona Rais anakula kwenye mgahawa wao. Alipomaliza kula akapanda juu ya Counter akasimama pamoja nao wakapiga picha. Wamarekani walimpenda na kumkubali sana Obama.
"Kwa upendo na huzuni kuu, ninaungana na familia zote zilizopoteza vijana wetu wapendwa kipindi cha uchaguzi.
Vijana hawa walikuwa taa za matumaini na nguzo ya kesho ya taifa letu. Ni wakati wa kusikilizana, kuelewana na kujenga Tanzania yenye kuthamini uhai na sauti🇹🇿".
"Kwa upendo na huzuni kuu, ninaungana na familia zote zilizopoteza vijana wetu wapendwa kipindi cha uchaguzi.
Vijana hawa walikuwa taa za matumaini na nguzo ya kesho ya taifa letu. Ni wakati wa kusikilizana, kuelewana na kujenga Tanzania yenye kuthamini uhai na sauti🇹🇿".
The future we dream of will not build itself, it depends on the choices we make today. Let’s rise above division, above fear, and above apathy. Let’s choose leaders who reflect integrity, vision, and the spirit of service.
#YouthForChange#Tanzania2025#uchaguzi2025🇹🇿
"Ukuu wa mtu haupimwi kwa kile anachopokea, bali kwa moyo wake wa kutoa kwa wengine bila kutarajia malipo."
Katika maisha, wengi wanatafuta kupokea — pesa, msaada, au sifa. Lakini ukweli wa thamani ya maisha upo katika kutoa.
#ToaKwaUpendo#HeriKutoaKulikoKupokea
Palipo na Chuki nilete Upendo,
Palipo na Makosa nilete Msamaha,
Palipo na Shaka nilete Imani,
Palipo na Giza nilete Mwanga,
Palipo na Huzuni nilete Furaha,
Nitamani sana kufariji kuliko Kufarijiwa,
Kupenda kuliko Kupendwa- Fransisco wa Assisi
Trump amefanya kikao na makampuni makubwa ya Teknolojia USA yakiwepo Apple, Meta, Google na Microsoft. Akawauliza wanawekeza kiasi gani kwenye AI na Ubunifu. Meta na Apple kila mmoja akasema Tsh Trilioni 1485 ndani ya miaka miwili. Hawa jamaa wanawekeza mnoo kwenye Teknolojia.
Ninawatakia Waislamu na wananchi wote kheri ya Sikukuu ya Maulid. Kumbukizi ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) iwe sehemu ya tafakari na mafundisho katika maisha yetu juu ya; kuishi katika ukweli, kusimamia haki, upendo na moyo wa kujitoa kwa wenzetu.
Tusherehekee kwa furaha na upendo, tukimuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu aendelee kulibariki Taifa letu lidumu katika amani, umoja na ustawi, na kutufanikisha kutimiza yote tuliyojipangia kwa maendeleo ya nchi yetu.
Mawlid Al Nabi Mubarak.
Mtu anapokueleza siri zake za ndani na mambo yanayo muumiza anakueleza ili apone, kati yenu anatengeneza chumba cha uponaji hata kwako pia siku yako ikifika, lakini unapokwenda kuya sambaza kile chumba cha uponaji unakigeuza kuwa chumba cha umauti