Naibu wa wizara ya kidato advance alisoma mwaka mmoja aloo Kisha akatinga diplomasia akagusa diplo alafu akarudi akagusa cheti taaasisi fulani kwa trump๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐๐
Naibu wa wizara ya kidato advance alisoma mwaka mmoja aloo Kisha akatinga diplomasia akagusa diplo alafu akarudi akagusa cheti taaasisi fulani kwa trump๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐๐
Atatokea mtu atasema wana vigezo so ni haki kuteuliwa hata kama ni Mtoto wake
Hali ya kua anasema hivo,toka 2015 yupo kitaa ajira tee!!!
Swali ni jee ina maana na yeye hana vigezo???Ama jibu ni kwa kua Baba/Mama yake sio mtu fulani.
Gavoo imejaa couple,ndoa na familia.๐ฎ๐ฎ