Demokrasia imefeli Afrika kama ilivyo kwa mapinduzi ya kijeshi. Mapinduzi ya kijeshi yanashangiliwa kwa sababu umma una hasira na demokrasia iliyofeli. Nigeria ni mfano mzuri sana ampapo mapinduzi ya kijeshi 7 yalifanikiwa. Lakini Wanaijeria wanaogelea ufukara katikati ya utajiri wa mafuta. Viongozi wa kijeshi waliahidi “Neema” na mapinduzi ya kimfumo;
Lakini hawakutekeleza. Wengine waligeuka wala Rushwa kuliko waliowapindua.
Kitu ambacho hamjui kuhusi Zitto ni hatari sana kumpa sikio, that guy is dangerous, anapangua hoja zako mpaka unajiona huna akili, the closiet I know kwenye Art ya Manipulation ni Polepole na Kaka yangu Kipara
Sasa hawa wakiwa side ya mamlaka its even worse.
Siku ukielewa kuwa "kujulikana" siyo "kufanikiwa", utapunguza presha ya kutaka watu wakusikie kabla hata hawajakuelewa.
Fanya kazi kwa bidii.Watu sahihi wataanza kukuona, sio kwa kelele zako, bali kwa kazi zako.
#ElimikaWikiendi
Maarifa yanakuja pale ambapo unahoji kila kitu... KWANINI?
Kwanini iwe hivi na sio vile?
Kwanini afanye hivi na sio vile?
Kwenye jambo lolote ukijiuliza "kwanini?" utakuwa mwanafunzi mzuri wa maisha.