Ninamfahaam mtu ni mtazania aliyesoma mpaka ngazi ya PhD nchini ujerumani. Aliporudi Tz akasoma short course VETA ya fundi uashi na akaongeza fundi kapenta Degree ya kwanza alisomea uhandisi.
As we speak anakiwanda cha kukata tofali za mawe njia panda na kazi za mbao.