@RevocatusMagum1 Kitu ambacho kinaifelisha club ya simba ni kua na mashabiki/wanachama wenye mawazo kama ya kwako
Hamtaki ku-adress tatizo kubwa Bali mnakimbilia kumshushia lawama mangungu
Na ninauhakika unalipwa ili kupotosha ukweli
@stevechifu@Ninja_Damour Chid ni rapper aliyekua juu sana kwenye prime yake kapata features nyingi kafanya vizuri
Ila sio rapper mkali hiyo ni fact ila sio opinion
Ndomana hana hit kwa miaka zaidi ya 15 na hana verse alioandika unaweza Sema ni kali,hana bars ambazo zimekua iconic kwenye game
@hataweweunaweza@Balyx_ Russia atakua matatani sababu sidhani kama wana uwezo wa kupigana vita on multiple fronts sababu ukraine tu anampa wakati mgumu sana
Na amefanya ukraine awe top producer wa drones duniani