Ukiwa kwenye utaftaji wako ukiona unajiskia vibaya au kama ghafla mwili umechange jitahidi apo apo tafuta sehemu ukae kwanza chini.
Usiforce kutembea au kuendelea kusimama.
Usije kuanguka na kujiumiza zaidi.
Na ikitokea umetulia Kidogo basi nenda hospital mapema.
Kumekucha na makucha yake.
Aya Kwaiyo bado Kuna watu wanaamini kua mama alietoka kujifungua ata kama siku 40 zimepita ila akishiriki tendo na mumewe anakua anam'bemenda mtoto ?
@fakhardinfahady Duuh.ukirudi nyumban nitakupa Ada.
But wanasema kumbemenda mtoto inatokea pale mama akichanganya wanaume,au akishirik na mumewe ambae ana wanawake wengine nje.but nadhan iyo ni story za Jaba tu hazina https://t.co/xroEdKO8OH tuseme nibeliefs.