BRO TO BRO
Thamani yako kama mwanaume ni utu, tabia njema, msimamo, na uwezo wako wa kuwajibika na kutoa mchango chanya kwa maisha yako, familia, na jamii zaidi ya mali au muonekano wa nje
Misingi Muhimu ya Thamani ya Mwanaume 👇
Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu. Nisije nikashiba nikakukana, Nikasema, Bwana ni nani? Wala nisiwe maskini sana nikaiba, na Kulitaja bure jina la Mungu Wangu. (Mithali 30:8-9)
Kama unapenda kuwa tofauti, anza na dressing yako. Tunazo designs zinazokupa muonekano wa kipekee kila unapovaa.
Karibu @suitmseleleko
📲 0762617089
📍 Msimbazi, Kariakoo.