@Getrude_mollel Tanzania is heavily investing in irrigation. Drilling 846 new boreholes and utilizing Lake Victoria's water grid will reduce rainfall dependency and secure year-round harvests
Beyond maize and rice, this budget aggressively targets import substitution.
By pushing edible oil seed production to 2.3M tonnes and wheat to 200,000 tonnes by 2026/27, Tanzania is saving vital foreign exchange while feeding the region.
Tanzania ranking 4th in domestic airline capacity signals strong internal connectivity.
This boosts trade, tourism, and labor mobility, reduces travel time and costs, and improves market access, key drivers of productivity and sustained economic growth.
Tanzania ranking 4th isnโt just symbolic; itโs backed by real growth:
๐Domestic capacity surged **27% YoY to ~415,100 seats ([Business Insider Africa][1])
๐One of the fastest-growing markets in Africa
๐Aviation supports tourism + trade flows
This means stronger internal demand, faster movement of goods/people, and rising economic activity across regions.
https://t.co/pwl4TkFv5Y
Waliliwa sana akina Hilda Nyuton, sasa wameondoka, limekuja contena jipya la mboga ndani ya chama, kazi inaendelea. Vijana, someni mkomboe familia zetu, ahadi za viongozi kama Heche hazitoondoa umasikini kwenye familia yenu. Muulize Hilda na Rose Mayemba wametoa mimba ngapi?
Inasikitisha sana kujua kwamba akina Hilda walikazwa sana na mbaya zaidi hawakupata walichokitaka.. inauma sana, muacheni hilda awe na depression huko alipo maana hali mbaya sana..
Gold reserve ni kinga dhidi ya misukosuko ya uchumi wa dunia. Lakini kinga hiyo pia inaweza kutumiwa kusaidia wakati wa changamoto. Kuuza sehemu ya dhahabu ni kutumia kinga hiyo kwa wakati sahihi.
Wengi hawajui kwamba kabla ya 2023, Tanzania haikuwa na mkakati wa kimkakati wa gold reserve. Chini ya Rais Samia, BOT ilianza rasmi kununua dhahabu. Hii ni hatua ya kujenga uhuru wa kifedha wa taifa, sio jambo la kubezwa.
Wengi hawajui kwamba kabla ya 2023, Tanzania haikuwa na mkakati wa kimkakati wa gold reserve. Chini ya Rais Samia, BOT ilianza rasmi kununua dhahabu. Hii ni hatua ya kujenga uhuru wa kifedha wa taifa, sio jambo la kubezwa.
Unajua kwa nini bei ipo juu? Ni kwa sababu uchumi wa makaratasi hauna uhakika na nchi zote duniani zinainunua kulinda sarafu zao. Sasa sisi tuna akili gani ya kuuza wakati wenzetu wenye uchumi mkubwa wanainunua ?
During the budget squeeze of January it might feel tempting to reverse a debit order to free up cash ๐ฌ But that move can put your account in arrears, trigger arrear interest on overdue amounts and can hurt your credit score.
If youโre struggling to keep up, rather contact your credit provider about setting up a payment arrangement.
Kijana anasema IQ yake 177, lakini hajui namna gani ya kubahave kwenye jamii anayoishi.
Law 19: 48 LAWS of Power by Robert Gree
๐๐ง๐จ๐ฐ ๐๐ก๐จ ๐๐จ๐ฎโ๐ซ๐ ๐๐๐๐ฅ๐ข๐ง๐ ๐๐ข๐ญ๐ก โ ๐๐จ ๐๐จ๐ญ ๐๐๐๐๐ง๐ ๐ญ๐ก๐ ๐๐ซ๐จ๐ง๐ ๐๐๐ซ๐ฌ๐จ๐ง
Binafsi nimejifunza mambo yafuatayo;
1. Nchi ambazo ziko kinyume na matakwa/maslahi ya mabeberu/mapebari, zinauzwa kuwa maadui na hata ikibidi mabeberu wako tayari kupindua serikali iliyoko madarakani na kupandikiza kibaraka wao ambaye ataweza kulinda maslahi yao.
2. Nimejifunza kwamba nchi nyingine zinaweza kulipa watu fedha na kuwapa silaha kusababisha machafuko kwenye nchi yao, wakijifanya wanadai haki na mabadiliko, huku wakiharibu mali za umma na kuiba, kwa lengo la kuongeza taharuki na kutaka kuidhoofisha serikali. Yanayotokea Iran sasa hivi yalitokea Tanzania Oct. 29/30.
3. Tunahitaji kuwekeza zaidi kwenye Teknolojia, nasikia Iran imeweza ku-jam Starlink, this is incredible. Ukiwa na uwezo mkubwa kama huu, mataifa ya magharibi they can never bully you.
4. Tuwe makini sana na viongozi vibaraka kama Lema. Reza wa Iran ameishi Ulaya kwa zaidi ya miaka 40, halafu anataka kwenda kuongoza Iran. Sample ya watu hawa tunao, aidha familia yao ziko nje, au wao wenyewe wanakimbia nje kila wakati, sio watu wazuri, wanaweza kutumika muda wowote.