VIDEO:
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka Watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na wasaidizi wake wote, akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni wajibu wa kiraia na pia ni takwa la maandiko matakatifu.
Akizungumza na wanahabari siku ya Jumapili, Kiliba amesema ushirikiano kwa viongozi wa nchi ni jambo la msingi kwa amani, ustawi na maendeleo ya taifa, huku akiwahimiza wananchi pia kuwaombea viongozi katika utekelezaji wa majukumu yao.
Ameeleza kuwa kwa mujibu wa imani ya Kikristo, kutii mamlaka ni agizo la Mwenyezimungu mwenyewe, akinukuu maandiko matakatifu yanayobainisha kuwa hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu. Amesema kutotii mamlaka ni kwenda kinyume cha maagizo ya Mungu aliyempa mwanadamu neema ya kuishi katika nchi aliyoiumba.
HIVI NDIVYO ALIKO DANGOTE ALIVYO KUWA TAJIRI.
-
Dangote ni tajiri wa pesa masiki wa mapenzi ameachika mara mbili na wake wa ndoa amedhalilishwa mara tatu na michepuko, leo acha nikujuze mchache.
Dangote alianza biashara kwa mtaji wa shilingi million 7 za kitanzani ambazo alipewa mkopo na mjomba wake
Story kamili shuka na uzi upate funzo🧵⤵️