Kiongozi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré amepokelewa kishujaa na maelfu ya wananchi katika mji mkuu Ouagadougou aliporejea akitokea kwenye mkutano wa viongozi wa Afrika nchini Urusi.
"Nimepata mapokezi makubwa Simba, moyo unapenda unapo thaminika. Kiukweli nilikuwa nawaonea wivu sana Wanasimba. Asanteni kwa kunikaribisha."- King Kiba.
#UnyamaMwingi#NguvuMoja
Watch #MISSBANTU Behind the Scenes only on #CEEK #kondeboy #MissBantu #CeekAfricWatch #MISSBANTU Behind the Scenes only on #CEEK #kondeboy #MissBantu #CeekAfricWatch #MISSBANTU Behind the Scenes only on #CEEK#kondeboy#MissBantu#CeekAfrica
Dereva wa Bodaboda, Oscar Samuel (36) Mkazi wa Mtaa wa Kilongo B Kata ya Mkundi Manispaa ya Morogoro ameuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kutobolewa macho na Watu wasiojulikana.
Akiongea na @ayotv_ Mdogo wa marehemu, Huruma Samweli amesema May 31,2023 Oscar alimuaga Mkewe anaelekea shambani eneo la CCT Forest Manispaa ya Morogoro na hakurejea tena hadi Juni mosi mwaka huu walipokuta mwili wake umetelekezwa msituni ukiwa na majeraha huku macho yametobolewa na pikipiki haipo.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kilongo B Paul Laurence amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema kwa sasa wanaanza msako kuwatafuta Vijana wote ambao wanakaa vijiweni na kuvuta bangi ili waweze kuchukuliwa hatua kwani huenda ikawa sababu ya matukio kama hayo kutokea katika Mtaa wake.
#MillardAyoUPDATES
“Wanahabari wa Tanzania wasiniambie kwamba wao ni bora kuliko wa Kenya au wa Kenya wakasema ni bora kuliko wa Somalia inawezekanaje mbilikimo wawili wakashindana nani ni mrefu kuliko mwenzake, tunapaswa kutoka nje na kushindana na wengine ambao si mbilikimo,” – Prof. PLO Limumba
Kati ya Julai 2020 na Aprili 2021 Jeshi la Polisi nchini limekusanya TZS bilioni 50.1 kutokana na makosa mbalimbali.
IGP Simon Sirro amesisitiza kuwa jeshi hilo halifanyi kazi ya kukusanya mapato, bali fedha hizo zinatokana na kukiukwa kwa sheria mbalimbali.
Huwezi kuamini kabisa kwamba bwana spika Job Ndugai kama ndie yule aliyekuwa akiwashangaa wavaa barakoa bungeni.. Amekula barakoa hadi machoni na bwana Majaliwa na Jaji Mkuu pia.... Jamaa yangu shujaa akirudi na kuona huu USALITI, hawezi kuamini, anakufa tena! 😄
PICHA: Timu ya Yanga SC imetembelea Bungeni Dodoma leo kujionea shughuli mbalimbali zinavyoendeshwa kwa mwaliko wa Mbunge wa Manonga, Seif Gulamali, Timu ya Wananchi Yanga ipo Dodoma kwa ajili ya Mechi yao na JKT Tanzania hapo kesho.
#MillardAyoBUNGENI
Tarehe kama ya leo mwaka 2012 tulimpoteza kiungo wetu fundi aliyekuwemo kwenye kikosi kilichoshinda ubingwa bila kupoteza mchezo hata mmoja na kikosi kilichomfunga mtani goli tano kwa bila.
Pumzika kwa amani Patrick Mutesa Mafisango. Tutakukumbuka daima 🙏 #NguvuMoja