Pesa ya Mabebeeu ipo hivi
Inakupa mtawala ili iyendelee kuchukuwa madini kwako
Inampa Mpinzani siku wewe mtawala ukileta ujinga wa kugusa chakula chao wapate pa kuanzia
Ni ukweli usio pingika ila kwa jinsi wametugawanyisha hakuna namna lazima tuwategemee tuuu
Wezi wa SIMU nao wamekua wajanja
Wamejua Police wanaTrack sasa
Wakiiba iPhone sasa ambayo haijawa Logged in wanaenda kuuza Kenya na nchi zingine
Kwa simu zingine wanauza parts humu humu ndani
Na hapo ndo msemo wangu wa βNjia rahisi ya kupata simu ilioibiwa ni KUNUNUA SIMU INGINEβ una-make sense
Mama Muuza uji amejikwaa akaanguka; akavunja na chupa zake mbili za uji. Basi mammalia mwema amepitisha mchango haraka pale pale. Mama kaokota kama 55K. Wema bado upo
Asilimia kubwa ya wasanii wakongwe walifanya mziki kama sehem ya kupata umaarufu na mademu ndipo inafata hela, tofauti na sasa wengi wanafanya mziki kama kazi na wanapata hela ndipo yanafata mengine, hii kitu inawatesa sana baadhi ya wakongwe ndio maana ukisikiliza interview...
Tz tunatumia takriban TSh trilioni 1.8 hadi 2 kwa mwaka kuagiza bidhaa za chuma kama nondo, mabati etc kutoka nje wakati tuna makaa ya mawe, chuma cha Liganga, gesi asilia etc
Tunaweza kujenga viwanda vyetu wenyewe vikubwa vya ndani vitakavyotengeneza ajira na kupunguza import
518 lives, let us say it is. Not statistics - sons, daughters, fathers, mothers. Dreams crushed forever.
Their own Commission admits intelligence knew months ahead in some regions. Yet zero accountability. No heads rolled. No one held responsible for the failure that turned prevention into massacre.
State security planned killings, not protection. No remorse. No genuine promise: βNever again.β
And now they preach reconciliation? With whom β the dead?
YALIPANGWA
YALIRATIBIWA
YALIFADHILIWA na
YALITEKELEZWA.
Eee Mwenyezi Mungu tusadie, tufumbue macho na tuongoze kutambua na kuwakataa wenye nia ovu dhidi ya Tanzania.
#NeverAgain
Hivi mnajua Tume imesema kuna wanasiasa waliokatwa kura za maoni ngazi za udiwani hadi Ubunge alafu hasira walizimalizia kwenye kuratibu vurugu za octoba 29
Ntajieni hapo πmagwiji wa siasa waliokatwa kura za maoni kwenye vyama vyao nataka kuunganisha dotiπ
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi
Wamekataa kuketi, kusomewa uongo
Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume
Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo
Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale
Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima
Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA π
#TANZANIA: RIPOTI HII NI YA RAIS, ASITOKEE MTU YEYOTE AKAITAKA - RAIS SAMIA
Rais Samia leo Aprili 23, 2026 akikabidhiwa ripoti ya Jaji Chande iliyopewa jina la Tume ya Rais ya kuchunguza Matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 amesema ripoti hiyo ni ya Rais na hatakiwi kujitokeza mtu mwingine kuiomba au kuitaka.
Zaidi: https://t.co/8elRdnjjRy