Nimeguswa saana na hii scenario... Ningependa pia kutoa msaada especially kwa mtoto. Kama Kuna mtu anajua alipo huyu mwanamke anipe details zake.
Retweet niweze kumpata.
@Innocen89950594 Nitafute kwa namba hii 0762528114....ukipona ulete ushuhuda kwa wengine na usipopona nakulipa mimi.
UTI Haiponi kwa dawa za hospital, Tafuta dawa local tu.
@mreno255@Karawa102010 Huyu mzawa anakomaa yuko chini ya miguu yangu nimtumie tu hiyo zaga ajiridhishe. Bora mzawa asile ila umpe connection amalizane nayo 🤣🤣
Tajiri ni Tajiri tu... hata yule jamaa Tajiri aliempa Jesus kaburi ili azikwe ni Tajiri ambae alimfuraisha Mungu na hopefully makosa yake yalifutwa.
Tajiri kwa msaada huu kwa Njemba amemchekesha na kumfuraisha Mungu, haya mwenzangu na mimi sasa.
#TajiriLaKihaya
Mimi nitafukua Makaburi… na MSAADA NITATOA…
Umekua miongoni mwa watu walionipiga Spana kwa kuwasaidia watu Mitandaoni ila leo mm nakutumia Hela mtandaoni na wewe unaomba Msaada mtandaoni kama walivyoomba wale uliokua unawaponda!
Sina Beef na wewe… tunaweka kumbukumbu sawa!
Kama jinsi nlivyowasaidia wale na Leo tunakusaidia wewe… ila ingekua bora kama ungeweka Bill nzima hapa- ili tujue tunachanga kiasi gani!
Mtu anaweza toa laki 5 kumbe bill ni laki 2 au mtu akatoa elfu 50 akajua amemaliza kumbe bill ni milion 5.
UGUA POLE Bro… MWENYEZI MUNGU AKUPONYE na Akujaalie uwe na AFYA NJEMA🙏🏽
Binafsi nipo tayari kwa mchango mwingine- ukiweka taarifa zako sawa!
Kanda ya ziwa inatoa Wanaume wagumu sana. Ambao wako radhi kufa kijerumani kuliko kutembeza Bakuli.
Hakuna kitu kinaua uwezo na hasira za kusaka pesa kwa Mwanaume kuamini "nitasaidiwa tu"
Refer Dudubaya Case.