@IAMartin_ Hivi kumbe Yesu alioa!?? Alioa akiwa na umri gani? Nisaidieni wanazuoni,makasisi na mashemasi wangu hakunifundisha hiki kipengele kwakweli!!
Mioyo imevunjika, morali imeshuka. Wananchi wanaona wazi kabisa kuwa Simba anakuwa bingwa tena msimu wa 4 mfululizo. Tuwape maneno ya faraja wana YANGA