wewe ni Mjinga na mpumbavu pia Dr magufuli ulikuwa unafanya Nini? hata huyo mpango ndo wew ulianza kutanganza kafa mwaka juzi, kufurahia kifo cha mwanadamu mwenzio kama vile wewe utaishi milele 🚮🚮 wote mnaofurahia vifo vya watu ni wapumbavu sanaa
KUNA muda hili taifa lina watu wajinga sana na wanadhani kwao kukaa na kubuni vitu ni tija sana. Sasa mlikuwa mnahangaika na Dr Mpango wengine mnasema KAFA sijui BWANA AMETOA haya karudi mna lolote?
Baba zenu na mama zenu huko vijijini hamhangaiki nao kama mnavyohangaika na watu hata hawawahusu mnajipa shughuli tu. Sasa PM kuseme kuhusu Dr Mpango kulikuwa na shida gani?Mnapenda sana kuokota okota mambo mitaani na kuyafanya rasmi.
Kipindi cha Magufuli mnayemtolea mfano kama hamna habari hata aliyekuwa makamu wake ambaye ni Rais Samia sasa alinyimwa access ya kuongea na Ikulu hata hakujua yuko wapi na ana hali gani. Mkewe mama Janeth alikuwa hajua mumewe yuko wapi na mzima au kafa! sasa mnaposhangaa PM kusema kipindi kile kaongea na Magufuli na akatoa kauli ile akiwa msikitini mbele ya waumini. Kama hamjui ni kuwa Magufuli alilazwa pale Taasisi ya Moyo Muhimbili nakutolewa tarehe 12 March 2021 na ndiyo siku ya mwisho kuongea na viongozi wake na alipozidiwa na kufa tarehe 15 March 2021( hii siyo mliyoambiwa) hakuna aliyekuwa anajua uko wapi.
Dr Mpango tulishawaambia yuko Korea Kusini kwa matibabu kwa hiyo mlitaka tuwaambia kafanyiwa operesheni na sasa wamemtoa nyuzi sasa kidonda kimekauka sasa ana dress kidonga sasa anakunywa uji wenye limao sasa anatembea sasa anarudi nyumbani? Kuna mambo mngetumia nguvu hizo kufuatilia maisha ya wazazi wenu au ndugu zenu kule kijijini ingewasaidia sana kwa sababu wangejua wana watoto wanawajali. Haya mlisema KAFA huyu ni NANI?
HAYA watu waliandika sana sijui nini sijui kafa sijui imekuwaje na wengine wakaandika mpaka mapambio na wengine wenye uroho wakaanza kuutamani umakamu wa Rais kama kawaida yao na Makonda na majinga yenzake yakaanza kuweka mikakati eti ya kuweka SUKUMA GANG kuwa Makamu wa Rais..
LAWAMA zote zinakwenda kwa vyombo vya serikali kwa sababu tuna watu wa ajabu sana. Yaani tunaachaje taharuki inakuwa kubwa kiasia hiki wakati kule Korea ya Kusini Balozi Togolani kakutana na Makamu wa Rais Dr Mpango, anajua kaonana na waziri mkuu wa Korea Kusini ,anajua katembelea kiwanda cha vifungashio anajua na alikuwa sehemu ya ziara na mpaka picha wamepiga kwenye matukio yote haya ,waliona ugumu gani kupost na kuwajulisha watanzania juu ya haya? Balozi Togolani kwake hili siyo muhimu kwake muhimu ni kupost misamiati kila siku kama Shaaban Robert au Andanenga.! Tunawezaje kuwa na balozi wa hovyo hivi? Yaani kama balozi ni mwakilishi wa Rais kwenye nchi husika na hili limetokea na balozi hakuona umuhimu wa haya basi hatuna mabalozi na naanza kuelewa kwa nini yuku Togolani Mavura alifukuziliwa mbali na Magufulu wiki ya kwanza tu alipoingia Ikulu. Huyu ni mtu mwenye mizaha na hana usiriazi kabisa kwenye kazi zake kama balozi na huu ni mfano.
KITENGO cha habari kwenye ofisi ya Makamu wa Rais na Msemeji wa Serikali wameoza kabisa na hawana haja ya kuendelea kuwepo. Yaani mnashindwaje kumaliza uvumi huu na taarifa mnazo lakini mnashindwa kuzitoa ? Au mliambiwa msiseme? Na msiposema mnapata faida gani kwa mfano? Jambo hili ni baya na la hovyo sana na mmewakosea sana watanzania.
MAOMBI NI MAZITO SITAWAACHA BILA SALA 👇🏿
MUNGU uliye hai tunakushukuru hata kwa nafasi umetupa kuweza kuliombea taifa hili na sifa na utukufu ni vya kwako wewe. Umetukalisha katikati ya watesi ,waganga na wachawi lakini hujawahi kutupungukia ulinzi wako na wakati huu ulipotufunika na wingu lako kwa ajili ya kuliombea taifa hili na watu hawa tunakuomba USIKILIZE KILIO CHA WANAO HAWA NA MWENYE HAKI UKAMLIPE SAWASAWA NA MAPENZI YAKO. Wale waliodhulumiwa na wenye nguvu,wenye mamlaka,wenye kuwa na mamlaka basi wewe Mungu ni mwenye haki kaamue mashtaka yao na kilio chao. Utujibu mashtaka yetu na haki yako itendeke.
Mungu nakusihi na kukuomba usikubali uzao wako uteswe na kudhulumiwa na walio na mamlaka na madaraka maana kwetu wamekuwa ni WAFARIJI WATAABISHAJI na WANAUTESA UZAO WAKO WA KIKUHANI BABA.
KWA SASA TUNARUDI MADHABAHUNI..
👉🏿Maria Sarungi na wafuasi wako vipi TUNAZIKA au TUNASAFIRISHA?
#KigogoMediaUpdates
@goligani ushazoea Yale ma mikeka Yako ya kiwaki ndomna unafkria kila mechi unajua ni Yale ma mikeka odds 2 timu elf10🤣🤣 huku kwenye mpira hupawez na hujui kitu mechi ile wanajua wenye uelewa wa mpira