Amani ya DRC itatokana na wa Congo wenyewe kuliko kutegemea mataifa mengine asema Bahati Musaanga Erasto.
Mazungumuzo ndio njia nzuri kuliko kutumia risaisi wala Nguvu
Lubero/kirima
Watu wasiojulikana washambulia askari polisi wa barabarani wapatikanao kwenye kijiji kirima kwenye umbali wa kilometa karibu ishirini na nane barabara butembo_Manguredjipa katika wilaya ya lubero kivu kaskazini.