#NenoLaLeo....
MUNGU HATAKI ULIELIE, ANATAKA UMWONE KATIKA HALI YAKO. Kutoka 14:15-18
Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kwa nini mnanililia? Waambie Waisraeli waendelee mbele. Inua fimbo yako na kuinyosha juu ya bahari. #BarakaZaMilele
Usikwame katika ugumu wa hali yako. Unapoanza kuonaó Mungu unaanza kupata ushindi. Uwe na wikendi ya ushindi majaliwa tuonane Jumapili tupeperushe bendera ya #MileleGospelSunday 5am-10am. Tukutane Galilaya! @EvahMwalili@Milele_Fm#BarakaZaMilele
#HabariNjema...
WEWE NI MSHINDI, HUWEZI GANDAMIZWA! 2 Wakorintho 4:7-10..Daima twapata taabu, lakini hatugandamizwi, twapata mashaka, lakini hatukati tamaa, twateseka, lakini hatuachwi bila msaada, na ingawa tumeangushwa chini, hatukuangamizwa, Amina!!