Tangu kuanzishwa kwa World Cup mwaka 1930,hizi ni timu zilizofunga magoli mengi zaidi
1) Germany – 239
2) Brazil – 238
3) Argentina – 152
4) France – 136
5) Italy – 128
6) Spain – 108
7) England – 104
8) Netherlands –96
9) Uruguay – 89
10) Hungary – 87
Tembelea @DimbaniKonekti
kwenye The Verteller track 20. KIFO, maudhui yakiwa Mauti.(Thinking ya mtu aliyehai vs malaika mtoa roho)
Kwenye AFF track 20. UTALIIMBA JINA LANGU, maudhui yakiwa ni mauti.(watakukumbuka ukishakufa?)
Nategemea kuona series hii track no 20 kwenye album zingine za @dizastavina
For sure huyu ndio tenchinian wetu aliyeanzisha mambo yote 2022/2023 pamoja na Jesus. Role ya inverted LB kutengeneza shape ya 3-2-3-2 kwenye build-up @MoruoKing
Oleksandr Zinchenko.
“To be honest, when I had just arrived, the quality I saw... I realised on the pitch we have everything to achieve big things. I started to speak in the dressing room, saying: ‘Guys, forget top three or whatever, we need to think about the title.’ Some of them were laughing, but no one is laughing now, and all of us are dreaming.”
We truly appreciate your contribution to the project. Thank you sir, and the title won belongs to you as much as it belongs to the players who won it.
Gabo ameigiza story ya Said Mwamwindi kumuua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Dkt Kreluu mwaka 1971 amejitahid saana 🙌 .
Hii kesi Maarufu sana Iringa pale, jamaa alimuua mkuu wa mkoa alafu akaenda Polisi akaawaambia kachukueni mzoga wenu kwenye gari.
Noma sana
Kudos @GaboZigamba_
My beloved Arsenal fans.. Don’t be too disappointed… Be proud of this team and everything they’ve achieved. Keep believing and keep supporting them the way you always do. We are in the right direction. I’m so happy I got to experience this game from the stands with the Arsenal family for the very first time ❤️ Thank you for the incredible welcome and all the love. You made me feel like I’m really one of you, next year will be our time. Love you Gunners 🙏❤️
Steven Gerrard: “I look across the Arsenal squad, I don’t see much ego. I see a young hungry manager. You can’t let this setback take anything away from becoming Premier League champions. They deserve a lot of plaudits.” ❤️👏
PL: 8th. 8th. 5th. 2nd. 2nd. 2nd. 1st.
UCL: Quarter-final. Semi-finals. Final.
Thank you Mikel Arteta. Next season we will win them all. Both the premier league and the Champions League.
Dear Arsenal Fans,
Nipende kuwashukuru sana toka kabla ya kuchukua kombe la ligi mmenipa rizki nzuri ya jezi, kiukweli tumeuza sana jezi nipende kuwashukuru sana na ahsanteni kwa kuniamini pia, kukosa UEFA sio mwisho wa Football kama tulikaa 22yrs bila ligi hata hili litaisha 🙏🏻