@barcitybaby@FidQ Na feed Kiu kwa hizi ladha sijawahi kugusa laga @patric_ph ...PABLO ni bad man. Siichoki kuskiliza unavyoteleza na bars na ma word play @barcitybaby
@patric_ph That ish is illiest, i decided to put it on my auto replay...The more you listen to it the more you discover the high level rapping skills and techniques.
When positional power is used to empower ๐ช๐ช Shukrani kwa Mhe Hussein Bashe kwa kumsapoti dada huyu anayepunguza upotevu kwenye zao la nyanya kwa kutengeneza wine ya nyanya. Wizara inamsaidia kwenye miundombinu kuongeza uzalishaji. Elite tomato wine ๐#BBT