Mechi kati ya Kagera na Simba iko kwenye mashaka makubwa kuchezwa leo. Kuna idadi kubwa ya wachezaji wagonjwa pande zote 2. Kaugonjwa ka'mafua, kifua na homa kali kako pande zote. Backline nzima ya Kagera inaugua, Simba waliacha players Dar kwa ugonjwa kufika BKB wameongezeka!