@hajinassor24 Kila la kheri inshallah na ushiriki mwema wa jukwaa kwa maslahi mapana ya taasisi zote za watoa huduma za msaada wa kisheria unguja na Pemba .
Asubuhi ya leo Waziri wa Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Haroun Haroun Ali Suleiman atalifungua jukwaa la4 la Msaada wa kisheria ukumbi wa Michenzani Mall Unguja na muda huu washiriki wameanza kuingia ukumbini kutoka Pemba na Unguja
Proud to be at #COP29 in Baku with AA pushing for #ClimateJustice This is my second COP after Dubai, and the urgency is louder than ever.
We demand trillions in #ClimateFinance The Global North must act, cut emissions, divest from harm, & empower youth & women to lead the change.
leo Agost 9.2024 Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar imekabidhi bajaji maalum kwa Jumuiya za wasaidizi wa sheria Mkoani na Wete ikiwa ni utekelezaji ahadi ya Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi hafla hiyo ulifanyika Pemba
@LSFTanzania@Sheria_Katiba
Ajenda nyingine ambayo sasa tuieleze jamii ni wimbi la wizi wa watoto lililoibuka nchini. Mkurugenzi @chapotz Nassor Bilali Ali akizungumza na wasaidizi wa sheria kwenye kikao cha kila mwezi kilichofanyika ofisini kwao Chake chake leo Julai 27.2024 @LSFTanzania@TAMWA_Zanzibar
📍BONANZA LA GOMBANI PEMBA
Nani alikwambia watoto wa kike hawawezi kushiriki Michezo?..
🗑️🏀Wachezaji wa timu ya wanawake ya mpira wa Kikapu Wete & Chake Chake Pemba wamedhihirisha hakuna kisichowezekana kwa wanawake kucheza baada ya kushiriki bonanza la #MichezoKwaWote.
Julai 24.2024 Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar kwa ushirikiano na Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka na @UNDP inatoa elimu kwa jamii ya Dodo Pujini juu ya kutoa ushahidi na kuripoti kesi za udhalilishahaji ili kutokomeza matendo hayo @LSFTanzania@TAMWA_Zanzibar
LEO Julai 5.2024 Idara ya Katiba Msaada wa Kisheria Zanzibar ofisi ya Pemba na wadau wake wanaendesha kikao cha tathmini ya wiki ya Msaada wa kisheria ambapo kilele kilifanyika Juni 28.2024 Unguja na Makamu wa Pili Hemed Suleiman alikuwa mgeni rasmi
@LSFTanzania@Sheria_Katiba
Huwezi kumtia mtu hatiani kwa ushahidi dhaifu hivyo lazima kila mmoja aelewe umuhimu wa kutoa ushahidi Mahkama. Afisa Mdhamini Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Pemba Thabiti Abdalla akifungua kongamano la vyuo vikuu SUZA Pemba
@LSFTanzania@Sheria_Katiba
Leo Juni 26.2024 Meneja Mawasiliano na Ushirikiano kutoka @LSFTanzania Jane Matinde awataka wanafunzi Chuo cha SUZA Pemba kutumia simu zao ili kupata mafunzo ya kisheria na Msaada wa kisheria kwa urahisi. Ni kwenye kongamano la vyuo vikuu
@Sheria_Katiba@GasparyCharlesG
CHAPO tunaipongeza kwa kutufikia Baraza la watoto shehia ya Wawi kwa dhana ya kuanzisha klabu ya kupinga ukatili na udhalilishahaji na tutaunga mkono wazo hilo Mwenyekiti wa Baraza hilo Wawi akizungumza kwenye mkutano wa wazi
@GasparyCharlesG@TAMWA_Zanzibar@mzee_zaina5071