Karibu Kwa vifaa Bora vya umwagiliaji Kwa gharama nafuu tunapatatikana kariakoo mtaa wa kipata na sikukuu Dodoma tunapatatikana Kibaigwa karibu na office za TRA
Karibu Kwa vifaa Bora vya umwagiliaji Kwa gharama nafuu tunapatatikana kariakoo mtaa wa kipata na sikukuu Dodoma tunapatatikana Kibaigwa karibu na office za TRA
Prophet Muhammad ﷺ said: "Commit yourself to the Qur'an, for by Him in whose Hand is my soul, it is surely more prone to break away than a camel in its bind."
Sahih al-Bukhari 5033
Ndo Maana Akasema Swahaba Mtukufu 'Abdillah bin Mas'ud [Allah Amridhie]:
الجماعة ما وافق الحق ولو كنت وحدكَ
Jama'ah Ni Ile Iliyoafikiana Na Haqi, Na Walau Utakuwa Pekee Yako
[صحيح]
[تاريخ دمشق لابن عساكر]
Na Maneno Kama Haya Yametajwa Na Wengi Katika Maimamu Kama Vile Fudhwayl bin 'Iyadhw, Al-'Auzāi Na Wengineo
[Haki Haitambuliki Kwa Idadi Ya Wingi Wa Watu]
Wachuoni Wa Ahlul Sunnah Tokea Tangu Na Hivi Sasa, Wamekuwa Ni Wenye Kusema, Wingi Wa Watu Kwenye Jambo Flani Sio Kipimo Cha Haqi, Bali;
أن الحق يعرف بالدليل من الكتاب والسنة على فهم السلف الصالح،
Hakika Ya Haqi Hujulikani Kwa Dalili Kutoka Katika Kitabu Na Sunnah Kwa Ufahamu Wa Wema Waliotangulia,
Ko Kinachotakiwa Kwa Muislaam Ni Kushikamana Na Haqi Pasina Kuangalia Ni Wangap Wameshikamana Na Haqi Hiyo,