@HildaNewton21 Hakika ila ni bora ya chuki kwa Yule anae vunja Sheria na kuchochea janga kubwa kwenye Taifa kutaka kuleta maafa ya mamilioni ya watu kuligawanya taifa kujenga chuki udini na ukabila mtu uyo ukimchukia na ukamzibiti Sawa Sawa na kuondoa Kansa , hapo vipi bi hilda unalaziada
@bbcswahili Mara mtasema mrusi mchina mkorea au muiran ila uhalisia makundi yote ya kigaidi duniani yana faziliwa na …… na ndio maana Putin alisema baada ya ugaidi uliwo fanywa mosco akaweka wazi na akatoa onyo kwa wafadhizili hadi leo hawakusubutu ila huku afrika mungu atulinde tu
@bbcswahili Hahaha yaani vyombo vya magharibi hua vinafurahisha sana irani kazidungua F 35 F 22 Raptor na F 16 je umewahi kuckia su au Tu za kurusi kudunduliwa huko Ukraine sasa hapa ndipo utaona nguvu ya vyombo vya magharibi kusifia mataifa Yao ila kiukweli urusi anandege bora zaidi
@bbcswahili Iran ni taifa zaifu marekani Anatumia njia za mazungumzo na iran anaingia kichwa kichwa huku marekani anasoma sehemu gani ipi na ipi apige Akesha kuziripua anataka tena mazungumzo hadi ataakikisha iran haina nguvu tena kijeshi kisha atatuma jeshi la ardhini
@sputnik_swahili Sio Rusian hata Iran Korea ya Kim nazo pia wanasema ni nchi maskini ni nchi zaifu ila ukizitazama izo nchi kupitia vyombo vya habari haziusiani na vya magharibi ni tofauti kabisa