Plasma Inc, kampuni ya Japan inalipa TZS 4,211,745 kwa mwezi kwa mtu atakayekubaliwa kamera zifungwe ndani kwake, arekodiwe akifanya shughuli zake, isipokuwa tu akiwa maliwato, kisha itazihariri video hizo kuhakikisha sura za washiriki hazionekani, na itazitumia kwenye utafiti.