Kuna hii combination ya mkulima wine na soda ya cocacola
Aloo ni mashine ya kazi// kiingereza kinakuja tu tena kile cha ndani ndani kabisa๐๐พ๐๐พ
Mhangaikaji nmepanda zangu daladala ipo full mbaya ,sasa kuna dada akawa anamlalamikia konda ana mwambia "KONDA USIPAKIE TENA WATU GARI IMEJAA JOTO KALI " konda akamjibu "SHUKA UPANDE FRIJI "๐คฃ๐คฃ
#viral@MkulimaKante@MalkiaTabasamu@IamGabby_01@GABRIELKAIRANG
Kwenye bible Gideoni alikuwa anamuomba Mungu vitu vya kijinga jinga tu na anajibiwa๐
Kuna muda alijigundua ni miyeyusho akamwambia Mungu naomba usinikasirikie๐๐๐พ