Kuna jirani yangu flani dem yake humpigia hii masaa na huwa wanashinda wamepigiana makelele, pia mimi hutaka manzi kama huyo ubaya sasa dem akinishoutia namtusi alafu nakata hiyo simu
Kati ya vitu zilifanya nikatae kukaa Nairobi nikarudi Busia ni kuishi ploti moja na single mothers. 2018 niliponea sana.Mungu aliniokoa kabisa. Msichana alifukuzwa na mama yake saa mbili usiku akatoroka akaingia kwa nyumba yangu akalala . Unajua mimi sikuwa na vitu mingi kwa nyumba coz mahali nilikuwa nakaa watu walikuwa na sura kama za HEHA movers . Ata padlock yangu ilikuwanga unaezafungua na kisu na ifunguke. Kazi yangu ilikuwanga tu pombe kwa bar mpaka saa tisa usiku. Kukuja napata mtoto kwangu mimi nikalala tu.
Kuamka napata msichana ashaleta chief na mama yake. Nakwambia CCTV ya bar ndo ilirudisha kesi kwa mama yake wakaniacha. Msichana na mama yake sikuwa nawasalimia ata. Ilibidi niwacut off wote. Hapo ndo nikasema mimi na pombe ni kama shilingi kwa ya pili coz bila kulewa wangenifunga rape case.
Imagine this is a mother and son talking in Central Kenya! You’d hardly witness such behaviour in Kisii, my motherland. The rise of single motherhood and fatherless children in Central Kenya may leave us witnessing things we never imagined!
Instead of building another expressway to Thika,i think the government through the ministry of roads and infrastructure should channel the funds to dualling mombasa road or improving other busy routes such as the Mai mahiu Narok road.