I’ve learned not to trust anyone in life. People change and forget about you because they have their own people 🔧😆
Mjifunze kuwa wakweli, itawasaidia😎
#EGO TURNED ON. #tuishi.
Maisha siyo kuhusu kuwa mkamilifu, ni kuhusu kujifunza kutokana na makosa yako na kuendelea mbele. Kila siku ujipe nafasi ya kuanza upya, hata kama jana haikuwa nzuri. Kwa sababu amini bado kuna nafasi ya kuandika hadithi iwe bora zaidi.
#life
Kipindi ambacho una mawazo mengi, mambo yako hayaendi, kipato chako sio kizuri, biashara zako zimeyumba. Mara nyingi ndio kipindi unaweza ukapoteza watu wa muhimu uliodhani watakuelewa na kukusupport Kwa ushauri au kukupa moyo. But keep pushing and keep praying. #Tuishi
Kuna mteja kaniambia anajua sehemu wanauza gari bei rahisi kuliko mimi na mimi nimemwambia najua wateja wanaolipa pesa nyingi kuliko yeye.🤝
#entrepreneurs