πππ tuliwaambia hamkuwa mnasikia! Kiko wapi sasa
Maria ni Yezebeli hawezi kuwa sehemu ya jambo lolote la heri duniani likafanikiwa!.. Ulizeni watu wanaomjua vizuri π
Chama kimekufa kirahisi sana hiki! Yaani tulijua mtapotea lakini siyo haraka kiasi hiki yaani!..
Kwa hiyo account ya zamani iko wapi? Sisi tunajia ile ndiyo acccount rasmi ya chama hii ni ya uongo !..
@Mwabuk2Boniface Maumivu makali unayo yapata na uchungu kwenye nafsi vyote vipo mbele za uso wa Mungu vikilalamika hakika ghathabu ya Mungu I karibu sana kwa watesi wako.
Onyesha upendo kwa katibu wa Balaza la Maaskofu wa kanisa katoliki Nchi Tanzania Padri Charles Kitimi ambeye ameshambulia na watu wasiojulikana, Siku zote amekuwa mstari wa mbele kukemea na kuhubiri kuhusu haki.