@gasto_chang@pastajoshuatz 😂😂😂😂 na wewe umeona huu ndio muda mzuri wa kupandikiza hizo mbegu kwanini kipindi hichi mkuu wakati imepita miaka.. think positive bishoo
Tafuta skill moja ambaye either uko passionate ama uko curious kujifunza
Jifunze bure (Youtube & Torrents na websites nyingine kibao)
Practice, kuwa na Experience ya kutosha
Tafuta Clients wa kuwafanyia kazi BURE, Wapate matokeo.
Lipisha service yako
SIMPLE
ANZIA HAPA👇