Stormwater drainage imefanyiwa kazi Kiambu. Hii ni kitu ambacho watu hawazungumzii sana lakini kinaathiri maisha ya kila siku. Barabara haisimami tena wakati wa mvua. Mtu anayefikiria hivyo ana akili ya ground. #WamatangiAkoGround#BlessedCounty037
Singapore ina hospitali za kisasa. Kiambu nayo ina Bibirioni na hospitali 31 nyingine. Watu wa Kiambu hawahitaji kuruka maji makubwa kupata matibabu mazuri. #WamatangiAkoGround
Ngenda hospital Gatundu South sasa iko tayari kuwa equipped. Jengo linasimama. Watu wa Kiamwangi Ward wameona kazi ikiwa inafanywa na macho yao wenyewe. Hii ndiyo ground. #WamatangiAkoGround
Miaka mitatu iliyopita, mtu wa Theta Ward Juja alipata haja ya surgery alihitaji kwenda Thika au Nairobi. Leo Ndururumo hospital ipo jirani naye. Hapo unajua mtu amefanya kazi yake. #WamatangiAkoGround
This is the best verdict because imagine how angry and motivated he's going to be, you simply cannot put down that man. Plus it's a plus for the United opposition having one less presidential candidate