Kauli hii ishasemwa na wachezaji wawili wa PSG ,Dembele na Kvaratskhelia
🗣️“Hapa PSG kama haukimbii uwanjani benchi linakuhusu”
Ikimaanisha kila mchezaji anajukumu la kukaba
Ishara kuwa Luis Enrique , kaweza kuisimamia timu, Ndio maana halisi ya kocha kuwa “Manager”
“Joao Pedro , Cole Palmer ,Morgan Rogers and Estavao Willian”
Nawaza kwa kusema hivi msimu huu ukiona hii safu ya ushambuliaji ime click pale Epl walahi kuna mabeki watapata shida kwa sababu wachezaji hawa
Wanaweza kufunga , kutoa assist, kushinda mipambano ya 1 v 1 🙌🙌
🚨 EXCL: Arsenal exploring move to sign Vinicius Junior from Real Madrid. #AFC interest early stage + clubs not yet in talks but idea approved at all levels. Much rests on contract process as no breakthrough yet & #RMFC do not want free exit @TheAthleticFC https://t.co/qYdS5vlfE6