Picha Bora Siku, ya Mhe. Lissu Akiingia Mahakamani Leo
19/5/25, No Turning Back, Very Inspiring
Picture πͺπ½βπ½ππ½
#NoReformsNoElection
Naomba Repost 500 tu
Mwenyezi mungu awatunze Sana jopo la mawakili 28 upande wa utetezi wa kesi inayomkabili mwenyekit Mh TAL wakiongozwa na wakili Peter kibatala mmefanya kazi iliyotukuka Sana leo.
#Retweet 1000 za heshima Kibatala
@eastafricatv Ni vemaa sam san wamekutana katika msiba ni vema pia wakikutana hivyo ktk ziara za no reform no election zinazoendele njee ya Dar umoja ni nguvu mbele kuna mwanga #no reform no election.
@SimbaSCTanzania Next time wapeni Cunsuling wachezaji walalamikie maamuzi ya dhuluma kwa Refaa sio kuridhikaa!. Mchozo wa Quater final Refa wa kati sio wa mwsh ktk maamuz ya utata kinachotakiwa ni kufanya Follow up ya maamuzi ya dhulumu kwa Referee wa kat ili akafanye followup ktk VAR Tunafelii.
@FKihamu Anatuangusha sana kukoosaa umakini huyu jamaa lakin kocha nae unampa muda mwng san na hatup kitu kwa Dakika nyng ni tofaut san na Mukwalaa ingefaa Ateba awee anaanzia bench ujifunze kwa mwenzie if mukwala ungepata airtime ya kutosh kam yeye saiz amin angekua na goli kibao sana!
@SimbaSCTanzania Next time wapeni Cunsuling wachezaji walalamikie maamuzi ya dhuluma kwa Refaa sio kuridhikaa tu Quater final ni mech zenye Technology ya VAR sasa wachezaji wanaridhika tu maamuzi ya Refa us if refa ni Malaika ona wenzetu walivyolalamikia Goli lao kupinga Offside tunafelii saanaa

@CharlieBihemo Next time wapeni Cunsuling wachezaji walalamikie maamuzi ya dhuluma kwa Refaa sio kuridhikaa tu Quater final ni mech zenye Technology ya VAR sasa wachezaji wanaridhika tu maamuzi ya Refa us if refa ni Malaika ona wenzetu walivyolalamikia Goli lao kupinga Offside tunafelii saanaa
@ayubu_madenge Viongozi wetu especial technical bench wanakosa approach ya hamasa kwa wachezaji haiwezekani wanaridhika haraka na maamuzi ya Refa kuna pernalt tumenyimwa wao hawamsumbui Refa ilaa wenztu wamelaamikia Offside wakasikilizwa na tukapoteza kwa gili 2 Tunafeli san eneo hilo kimbinu.