Work until the door of ur car opens Verticaly,,
Kila Mtu Kwa Karama yake,Kadiri yake na Kudura Zake.๐คฒ๐คฒ๐พ
Mbeya City,,Simba Sc & Liverpool Fan๐ฅ๐ฅ๐ฅ
"Maisha ya mwanaume yamejaa masumbuko na mitihani, mwanaume hajui 'baadaye' yake, lolote linaweza kutokea kati ya mlo mmoja na mwingine,heri likutokee likute umeshashiba. Ukikutana na chakula hata kama huna njaa kula tu maana huwezi jua kama utapata fursa ya kukutana nacho tena."
'How many are now in hell who thought of amending their lives at some future period, but were prevented by death and consigned to eternal torments!' (St. Alphonsus Maria de Liguori)
"Mahangaiko ndio maisha ya mwanadamu tofauti ni tunachohangaikia na kuhangaishwa nacho. Kila mtu ana mahangaiko yake.Madogo yake, makubwa kwako.Makubwa yake, madogo kwako.Ukitaka kuishi vizuri na watu, usiyadogoshe mahangaiko yao.Heshimu mahangaiko ya kila mtu." ~Togolani Mavura.
Heavenly Father, as we begin this new day, we pray for Your mercy and grace. Comfort those who are suffering, heal the sick, guide our youth, and protect our children in school. Grant us peace, strength, and wisdom today. Amen. ๐๐ฝ
Baba yangu alinichukua kwa mama nikiwa na mwaka mmoja na nusu, mpka napata akili nikiamka asubuhi mtu wa kwanza namuona machoni kwangu ni Baba, nimepewa kila nilichostahili kutoka kwa mzazi na Baba, nimekuja kumuona mama yangu nikiwa darasa la nne. Baba hakuwahi kunijaza chuki..
When someone lends you money, remember itโs from their savings, emergency funds, and hard-earned income. Big or small, if they trust you enough to lend it, repay it without being asked. It speaks volumes about who you are.