@meena_ally01@LarryMadowo ivi meena _ally ulishawahi kupotelewa au ndugu yako wa karibu kupoteza uhai unajua how painful it is.... au ndo kujipendekeza kwa upande wa pili ili uonekane
Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Staa wa muziki duniani, #ChrisBrown anayetimiza umri wa miaka 34. Kwa kutambua hilo, tutajie ngoma kali unayoikubali kutoka kwake...😊