Mnamo Oktoba 13, 1972, Ndege ya Jeshi la Anga la Uruguay nambari 571, iliyokuwa imebeba abiria 45 wakiwemo wachezaji wa timu ya rugby ya Old Christians Club, ilianguka katika milima ya Andes iliyofunikwa na theluji.
Uzi🧵
Utakutana na watu wengi katika safari yako ya maisha, lakini kuna kusudi na ukomo wa muda kwa kila mtu utakayekutana naye.
Wengine Utakuwa nao kwa wiki chache tu, wengine kwa Miezi na wengine kwa miaka.
Jua wakati sahihi wa kuwaachilia watu.
Consistency inakufanya uonekane kama huendi popote kwa muda mrefu.
Wengine wanaonekana wanaruka-ruka, wanajaribu vitu vipya, wanaonekana busy.
Wewe uko pale pale. Lakini baada ya muda, mstari unabadilika.
Wale waliokuwa wanaruka wanachoka, wewe unaanza kuona matokeo.
Wakati wa kuweka malengo,wengi wetu tunazingatia vitu tunavyotaka kuwa navyo, bila kujali tunavyokuwa.
Mwaka huu zingatia ni nani unataka kuwa mwishoni mwa mwaka. Utakavyokuwa ndiko kutakachoamua utakavyopata.
Ili uwe mtu huyo,utahitaji kuachana na baadhi ya mambo.
Usidharau nguvu ya social media Mwanangu
Icho ndo kitu nitakuhakikishia kitakulipa
Onesha uwezo wako humu kwa hizi socials
Jua jinsi gani ya kupost, kuBattle, kufanya watu wakufate au hata kuCold DM mwenyewe
Haijulikani lini ila kuna siku itakuREWARD.
Mgawanyiko wa Korea: Chanzo na athari zake kwa ujumla
Mgawanyiko wa nchi ya Korea kuwa Korea ya Kaskazini na Korea ya Kusini umebaki kuwa mojawapo ya athari kubwa zaidi za Vita Baridi.
Zaidi ya miaka 70 baada ya mgawanyiko huo wa awali, Korea inabaki kugawanyika, huku mataifa haya mawili yakiwa na mifumo tofauti sana ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii.
Mgawanyiko huu, ulioanza kama suluhisho la muda baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, umeleta hali ya mkwamo wa kisiasa wa muda mrefu, ukiathiri mamilioni ya Wakorea na kuathiri siasa za dunia.
Uzi🧵
Check hii clip uone moja ya Tabia za WANAFIKI katika maisha yetu Watanzania.
Tuishi kwa Umakini mkubwa. Sio Kila Msaada utakaopewa ni una heri. Kuna misaada imebeba majuto mazito sana.
PAMBANA, REGARDLESS THE SITUATION YOU'RE PASSING THROUGH, MWENYE MSAADA NI MUNGU PEKEE!
Nenda Youtube Search “Meta ads full tutorial”
kamua kweli, summarize mchimbo kama uko PGM au PCB A’level
Practice uza hata product au service ya mtu
Ndo utakavoanza kupta 10k yako ya kwanza ONLINE, 50K,100k etc
#MadiniYaGaby
Hello leo saa 21:30 ntakuwa na space ambayo italenga jambo moja tu
JINSI YA KUPATA FAIDA KUPITIA BETTING
Welcome Ladies and Gentlemen.
Together we can 🙋♀️
Maoni yangu kama unalima mahindi anzisha na biashara ya unga iwe hata ya familia hapo mtaani.
Watoto wakue wakijua mnatengeneza supply chains wenyewe. Kuuza raw materials tuachane nako tuanze kuuza product.
Vyama vya ushirika ndio kazi zake, mnazalisha na kusambaza wenyewe.
Ukifika pale Italia kwenye milima ya Apennine kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa San Marino.
Hapa kuna Ma Rais wa nchi wawili ambao huchaguliwa kila baada ya miezi sita.
Nchi hii unayo iona hapo kwenye picha wana pesa yao inaitwa Sammarinese lira na Jeshi lao.
Mfumo wa kuwa na ma Raisi wawili kila baada ya miezi sita ulianzishwa mwaka 1243 na unalenga kuzuia mkusanyiko wa madaraka mikononi mwa mtu mmoja kwa muda mrefu.
Endelea Na Uzi ⤵️ 🧵🧵