KWANINI TUNASEMA SAMIA NA ABDUL NI WEZI, KWANINI TUNASEMA WANASAIDIANA NA OILCOM AMBAO NI WAMILIKI WA NAMARO ENERGY KUTUIBIA SH 544 KWENYE KILA LITA!...
USHAHIDI MWINGINE HUU HAPA.
Tanzania inanunua Mafuta kwa takribani USD 1,645 kwa tani, bei ya juu zaidi kuliko soko lolote kubwa duniani.
Wakati huo huo,
Amsterdam inanunua kwa takribani USD 1,180,
Australia kwa USD 1,190,
Afrika Magharibi kwa USD 1,230,
huku Durban (Afrika Kusini) na Msumbiji zikilipa takribani USD 1,235 kwa tani. Hizi ni nchi ambazo zina gharama kubwa zaidi ya usafirishaji kuliko Tanzania.
Cha kushangaza zaidi ni kwamba Bandari ya Dar es Salaam ina uwezo wa kupokea meli kubwa (LR2), jambo ambalo lingeifanya Tanzania ipate mafuta kwa gharama ndogo zaidi kuliko Durban na Msumbiji, ambazo zinategemea meli ndogo na gharama kubwa zaidi za usafirishaji. Badala yake, Tanzania inalipa zaidi ya USD 410 kwa tani kuliko nchi hizo.
Kwa nini Watanzania wanalipa bei ya juu zaidi duniani wakati tuna faida kubwa ya bandari na jiografia? Nani anafaidika na tofauti hii?
Hii si hoja ya jiografia wala gharama za usafirishaji. Ni wizi wa makusudi wa kutumia mahesabu unaowanufaisha kakikundi ka watu wachache.
Athari zake zinawaumiza wananchi kupitia kupanda kwa gharama za usafiri, chakula, uzalishaji na maisha kwa ujumla.
Watanzania wanadai ukweli. Samia na genge lake, walioamua kujiweka madarakani kwa gharama ya damu za Raia wasio na hatia, iweke hadharani mikataba ya ununuzi wa mafuta.
Tunajua, hii mikataba imeingiwa kimkakati na Samia na Abdul kwa kushirikiana na OILCOM ili kuwaumiza watanzania.
Watanzania wanastahili bei ya haki, si kuwa taifa linalolipa mafuta kwa gharama kubwa kuliko nchi nyingine yoyote duniani. Baadae nitaleta mchanganuo kwa upana zaidi kwa faida ya watu wa Takwimu
77 TUTOKE TUONYESHE NGUVU YETU.
STUKA!..TUNAIBIWA!
TANZANIA INALIPA MAFUTA BEI JUU KULIKO NCHI YOYOTE DUNIANI!.
Wataalamu wa hesabu tusongee hapa.
Watanzania wanalipa mafuta ghali kuliko nchi yoyote duniani, licha ya kuwa na bandari bora zaidi Afrika Mashariki. Hii ni wizi wa utaratibu.
Kwa mujibu wa uchambuzi wa kimataifa wa bei za mafuta Mei 2026:
Bei kwa Tani (USD),
Amsterdam $1,180 Benchmark
Australia $1,190 +$10
Afrika Magharibi $1,230 +$50
Msumbiji $1,235 +$55
Durban (Afrika Kusini) $1,235 +$55
TANZANIA $1,645 +$465 (+39%)
Tanzania inalipa USD 410 kwa tani zaidi ya Durban na Msumbiji, nchi ambazo zina gharama kubwa zaidi za usafirishaji kuliko Tanzania.
Tunasema tuna Bandari, faida yake ni nini pale inapotumiwa vibaya?
Bandari ya Dar es Salaam ina uwezo wa kupokea meli kubwa za LR2, meli zenye uwezo wa kubeba mafuta mara mbili ya meli za MR zinazotumika Durban na Msumbiji. Hii inapaswa kuipa Tanzania faida kubwa:
Hebu tazama gharama za usafirishaji,
LR2 kutoka Ghuba ya Arabia hadi Dar ni $3/bbl,
MR kutoka Ghuba hadi Durban ni $7/bbl ,
Tanzania inapaswa kuwa na faida ya $4/bbl ($30/MT)
Kwa uelewa tu, LR2 inabeba tani 75,000 za mafuta, gharama kwa tani ni ndogo sana kuliko MR yenye uwezo wa nusu ya tani hizo
Tukija kwenye suala la Jiografia, jiografia ya nchi yetu is the best ukilinganisha na maeneo mengine.
Tanzania inapaswa kulipa chini ya $1,230/MT** -si $1,645/MT.
Tofauti ni $410/MT. Hiyo ni pesa inayotolewa mfukoni mwa Watanzania.
Mbinu Za Kiuwazi: Bei ya M-2 na M-3 Inaibia Tanzania
Katika mikataba ya ununuzi wa mafuta, kiwango cha kimataifa ni M-1 bei inahesabiwa kulingana na mwezi mmoja kabla ya usafirishaji. Hii ni desturi ya haki na inayoakisi hali halisi ya soko.
Lakini Vitol na TPDC wametumia M-2 na M-3 bei inahesabiwa miezi miwili au mitatu kabla ya usafirishaji. Katika hali ya soko la "backwardation" (bei za sasa ziko juu kuliko za baadaye), hii ni mbinu ya kiuwazi ya kuibia Tanzania.
· Backwardation ya Aprili/June ilifikia $90/bbl kati ya mwezi wa mkataba na mwezi wa usafirishaji
· Kila dola ya backwardation hii inakwenda moja kwa moja mfukoni mwa Vitol na TPDC
Mafuta ya ndege (jet fuel) yalipatiwa mzigo wa ziada: bei iliwekwa $25/bbl juu ya soko, na mwezi wa kuhesabia bei ukisongezwa nyuma zaidi, Tanzania imelipa backwardation mara mbili.
Tanzania Inalipa SH 544 Kwa Kila Lita
Hesabu ni rahisi tu,
.Bei ya kimataifa ya mafuta ni karibu $1,180/MT (Amsterdam)
.Tanzania inalipa $1,645/MT
·Tofauti ni $465/MT
·Tani moja ya mafuta ina lita takribani 1,250
·Tofauti kwa lita: $465 ÷ 1,250 = **$0.372 kwa lita**
·$0.372 × 2,400 TSh/USD ≈ SH 893 kwa lita
(Kulingana na kiwango cha ubadilishaji TSh 2,400/USD, hesabu hii inaweza kukaribia Sh 544 kwa lita kwa kuzingatia tofauti halisi kati ya bei ya Durban na Tanzania), hii anayelipa ni mimi na wewe.
Nani Anafaidi?
WAMILIKI WA NAMARO ENERGY
Oilcom, kampuni inayomilikiwa na familia ya Abdul, inayohusishwa na Namaro Energy, ndiyo mtoa huduma mkuu wa mafuta nchini.
· Hifadhi ya mafuta Dar es Salaam yenye uwezo wa 76,000 m³
· Vituo vya ndege (aviation fueling) viwanja vya ndege vya Dar, Mwanza, Kigoma
· Biashara kubwa ya kusambaza mafuta kwa meli za kivita, majukwaa ya kuchimba mafuta, na meli za biashara
· Kampuni dada Al-Hushoom Investments yenye meli zaidi ya 400 lori za kusafirisha mafuta Afrika Mashariki na Kati
Je, Oilcom ananunua kwa bei gani? Je, ananunua kwa $1,230/MT na kuuza kwa $1,645/MT? Au anaingia mkataba wa M-2/M-3 na kupata faida kubwa ya backwardation?
Athari Kwa Wananchi na Nchi Jirani
Gharama hii ya ziada, inayokadiriwa kuwa USD 300 milioni kwa mwezi mmoja wa usambazaji wa mafuta, haikomi bandarini. Inapita:
· Kwa OMC na vituo vya mafuta
· Kwa makampuni ya usafirishaji, na kuongeza nauli
· Kwa wakulima, na kuongeza gharama za uzalishaji
· Kwa kaya zote za Tanzania
· Kwa nchi za ndani (Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi) zinazotegemea DSM kama lango lao kuu la mafuta.
Samia na Abdul wanatuibia SH 544 kwa lita. Hii si siasa, ni hesabu."
‼️🚨TAHADHARI‼️
Kamishna Makalala unachofanya kutumia slogan ya Chama cha Mapinduzi ni kinyume cha sheria ya utumishi wa Umma
Tokea vyama vingi kuanza watumishi wa umma hawawezi kuwa wanachama tena na WAKEREKETWA wa chama chochote
“Kazi na utu” ni slogan ya CCM wakati wa kampeni!
Nimeona hata lisemaji la Jeshi la Kulinda Madhulmat kilichojulikana kama JWTZ naye alituletea slogan ya kisiasa!
Nyie wote muda huu mlitakiwa kufutwa kazi
Nawaambia CCM soon mtanielewa maana siku mtu wa Chadema akiapishwa rais nitasubiri muanze kusikia watumishi wanaimbishwa People Power alafu nisiwaone mnalalamika 🙄
Mnafikiri mna muda mrefu madarakani? Thubutu
Mjipange!
#TutaelewanaTu #77Tunatoka #SamiaMustGo #FreeTunduLissu #JusticeForMO29 #EndEnforcedDisappearances
‼️HABARI MBAYA‼️
Jioni hii, July 4, 2026 watu waliojitambulisha ni Askari wa Jeshi la Police, wamewateka Viongozi Wa CHASO Mkoa wa Mbeya.
Mwenyekiti ametekwa akiwa Chuoni, Catholic University Of Mbeya,
Katibu wa CHASO Mkoa ametekwa akiwa Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyasa Kadege,
Mwenyekiti CHASO Tawi la Catholic University of Mbeya ametekwa akiwa Chuoni.
Viongozi hao ni-;
1. NOAH MWALWANGE (Mkiti CHASO Mkoa)
2. GWAMAKA MBOKA (Katibu CHASO Mkoa
3. Ndg WASINYO M/Kiti Tawi la CUOM.
Gari ambayo imetumika kuwateka ni HILUX nyeupe yenye usajili: DPE 8978.
Tunalitaka Jeshi la Police Mkoa Mbeya kueleza Sababu za kuwakamata na mahali wanapowashikilia.
Ktk sheria ya asili, NATURAL LAW; MUNGU amekiwekea kila kiumbe utaratibu wa kujilinda. DUNIA ina utaratibu wa kujilinda ili isiangamie.
MAANDAMANO ni utaratibu mmoja wapo wa RAIA kujilinda na kudai haki zao ili wasiangamizwe na watawala wa hovyo.
WAOVU wanayaogopa kuyakabili.
Asubuhi ya leo, tarehe 4 Julai 2026, mwili wa marehemu Suez Dani Maradufu umewasili katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime (Bomani) kwa ajili ya kuhifadhiwa. Mwili wake umepokelewa kwa vilio na simanzi na ndugu, jamaa, marafiki, pamoja na wanachama na wafuasi wa Chadema waliojitokeza kupokea mwili.
Upimzike kwa raha Suez.
Mnahangaika sana madhulmat 🤣 no rest for the wicked!
Narudia #WenyeNchiWananchi! Sisi ndo waamuzi wa mwisho si wao!
Sabasaba ni kutoka tu wote - hawako wengi na safari hii hawapigi risasi!
Drug addict Abdul naye kaufyata imebaki genge lake kuteka hapa na pale - tudiwsogope! Mungu kasimama!
Ni kwamba wanategemea HOFU yetu ya yaliyotokea MO29 kutukwamisha! Ila wingi wetu ndo salama yetu!
Mkiona kelele nyingi kama sasa mjue hamna kitu!
#77Tunatoka #FreeTunduLissu #SamiaMustGo #JusticeForMO29
Watanzania msiogope, hakuna mwanajeshi atashiriki ushenzi wa Mkunda na uongozi wa JWTZ.
Kama mlikuwa hamjui kwenye maandamano ya October 29 hata wanajeshi walipewa shoot to kill orders ili wali defy orders.
Samia Suluhu huko aliko lazima anavuja jasho jingi sana na anakunywa pombe kali.. bse wtf is going on, dragging a whole TPDF spokesperson to say kazi na takataka na hali ya ulinzi blah blah?
Ukitaka kufahamu kiwango ambacho nchi yetu imeharibika ni pale unamsikiliza ‘Luteni Kanali’ wa JWTZ ambaye amepewa wadhifa wa kuwa Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano anatumia kauli mbiu ya kampeni za MaCCM, ‘Kazi na Utu’. Hii nchi imeharibika kiwango cha kutorekebishika kirahisi.
Leo ni siku ya saba tangu Huyu Neema Chozaile akamatwe na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita.
Tangu amekamatwa mpaka leo hakuna mtu yeyote ambae karuhusiwa kumuona sio Familia, Mawakili wala Viongozi wa CHAMA lakin pia Polisi hawataki kusema yupo kituoni gani.
Kuna msamaria mwema anasema tangu Polisi wamkamate Neema wanafanya kazi ya kuzunguka nae kwenye gari sijui malengo yao ni nini.
Kwa msiomfahamu Neema ni Mwenyekiti wa CHADEMA wa Jimbo la Geita, June 29, 2026 aliaga watoto wake kwamba anaenda Sokoni kununua mahitaji ya nyumban akiwa njiani alivamiwa na Polisi wakamchukua na kuondoka nae.
Neema ni mama, anawatoto wadogo ambao wanamtegemea na kumhitaji Mama yao.
#FreeNeemaChozaile
Watanzania wote wanajua wanaoshutumiwa kuingiza makontaina ya silaha nchini ni watu wa chama gani na ni kina nani. Kazi yqko ni ngumu sana hautaiweza. Watanzania wanajua wanaoteka ndugu zao, walioua ndugu zao, wanaopandisha gharama za maisha kusudi wao waishi anasa wanajulikana.