"Yapo mambo mawili magumu kugombana nayo siku hizi, kama una uwezo wa kuepuka huo ugomvi na hayo mambo mawili epuka kwasababu huwezi kushinda. Ugomvi wa kwanza ni kugombana na GenZ, sisi tuna bahati GenZ wetu hapa bado washamba washamba, wamelala hivi lakini haina maana watalala, wataamka wakati wowote na cha pili kugombana na dini. Hakuna bomu, hakuna risasi. Hakuna fedha, hakuna mamlaka yenye uwezo wa kugombana na dini na kuishinda, havipo, hakuna sheria inayoweza kufuta dini kwenye mioyo ya watu. Wakomunisti walijidanganya, wakafuta, wakasema hakuna Mungu, wakatangaza kifo cha Mungu kuwa ameshakufa, hayupo. Nenda Urusi siku hizi uone, makanisa yameshamiri, nenda China, makanisa haya yanashamiri.
Kwahiyo hizi rasilimali tunazozitumia kupambana na dini, tungezihifadhi zifanye kazi nyingine. Wakitaka waulize akinababa, sisi akinababa tunaamini mtu mgumu sana kumshauri ni mama aliyemuamini Nabii, yaani mama akimuamini Nabii wewe mwanaume kaa pembeni, usigombane naye hutamuweza. Sasa ni sawasawa na mwanadamu aliyeshiba dini, unapoteza muda wako wote kugombana na dini.
Taasisi zote zielekezwe katika majadiliano na kijana wa GenZ majadiliano na watu wenye dini. Bahati mbaya dini nyingine zinaosha watu akili zao na kuwajaza upumbavu ndio unakaa kichwani, sasa huwezi kugombana na upumbavu, lazima utafute njia za kuwasiliana nao, kuweka daraja la kudumu la mawasiliano na watu hawa."-Askofu Benson Bagonza, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, KKKT, Dayosisi ya Karagwe.
@JasperKido Nanyi ndugu zangu wa O-LK msiwapuuze wasiotaka kwenda kupiga kura wakiwa conscious maana hiyo ni ishara ya uasi dhidi ya mfumo na sio ujinga.
@JasperKido Maana yangu ni kuwa kutopiga kura ikiwa wasiopiga ni conscious hiyo inakuwa hatua ya awali. Hatua ya pili ni wao kuwa organized ili kuleta mapinduzi. Hili la pili hata wakuu wa NR-NE hawajalifikia kifikra.
๐ด Unwavering solidarity with the working people of Iran, Israel, Palestine and the entire region. Down with imperialist aggression and the war.
๐ดุชุถุงู ููุง ุงูุฑุงุณุฎ ู ุน ูุงุฏุญู ุฅูุฑุงู ูุฅุณุฑุงุฆูู ูููุณุทูู ูุงูู ูุทูุฉ ุจุฃุณุฑูุง. ูุณูุท ุงูุนุฏูุงู ุงูุฅู ุจุฑูุงูู ูุงูุญุฑุจ.
@Jambotv_ Kwa kombinisheni ya trump na netanyau, bwana Iran alitakiwa atulie mihula yao ihishe, maana anakoelekea kwa kauli zake ataliingiza pabaya taifa lake, Israel sikuzote hawezi kumvumilia hadui, na irani anaangaika kuifuta Israel, ushauli wangu atulie tu.
To even think Tanzania has diplomatic relations with this diabolical fanatical entity is insulting.
Spectacular blunder ya awamu ya Magufuli hii.
Even worse the the embassy was opened by a well-known figure in Tz politics(one who should know better)
So USA divided the Koreas,failed to divide Vietnam ,had literally deposed regimes, and put puppets in South America, the Middle East.
But Alas when it came to Tanzania, for it to conquer Zanzibar it had to use Mwl Nyerere ๐ .
You have to be stupid and have loose nuts to believe
Si kwamba CDM ni wakamilifu, bali CCM imechoka kiasi kwamba hata kivuli cha upinzani kinaonekana kama mwanga wa matumaini.
Hakika, si kwamba Chadema ni chama kisicho na dosari au kwamba ni bora kupita kiasi, bali ni kwamba udhaifu wa CCM umezidi kiasi kwamba hata