Good morning my dears
📌Hizi shuka ni pure cotton, mtumba grade 1
Tsh 50,000
Shuka 2, foronya 4
0755693113
📍 Riverside Karibu na Micasa
Mikoa yote tunatuma 💯
@MiriamMkanaka
Afrika ukiwa na pesa umekaribisha maadui, kila shida ikitokea wanaanza kuuliza flani ametoa kiasi Gani yaani ndo unakua benchmark ya ndugu wote kwenye ukoo,
sasa usiombe siku tatizo limetoke alafu huna kitu ndo utajua hujui mbaya zaidi ufilisike utasikia "KIKO WAPI"
Usishindane na uliko Toka.
Kama ni vita ya Maneno Kati Ya Mwanamke Ewe Mwanaume Nyamaza Utashindwa Tu,
Kama Unashindana Na Mwanamke Sehemu Kuomba Kazi Kausha Wewe Mwanaume Utashindwa Tu.
Niwape story nyingine ya Nabii AYUBU? 😂
Ukisoma Biblia AYUBU 1:1, Biblia inasema Ayubu alikuwa mkamilifu na mnyoofu. 😎
Unajua kuwa mnyoofu wewe! Mungu alikuwa proud naye sana. Lakini kulikuwa wanoko 😂 wakasema, Mungu huyu unamuona yuko hivyo kwa sababu umempa kila kitu.
Chukua hivyo vitu vyake uone kama bado atakuwa mwaminifu kama unavyosema, Mungu akaona isiwe kesi ngoja tuone
Ghafla utajiri ukaondoka, mali zikapotea, watoto wakafa, na Ayubu akapata maradhi makali ya mwili.
Halafu wale wale Ma snitch wakaanza kusema, Hapana, lazima huyu kuna dhambi kubwa amefanya, Lakini pamoja na yote hayo, Ayubu aliendelea kushikilia imani yake.
Ndipo katika AYUBU 1:21 tunapata maneno haya
“Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana libarikiwe.” 🙏🏾
Guess what 😂 Baada ya kipindi chote cha mateso na maumivu, Mungu alimrudishia Ayubu kila kitu, tena zaidi ya alichokuwa nacho mwanzo. Hapo ni AYUBU 42:10.
Wakati mwingine hali ngumu tunazopitia kwenye maisha yetu si kwa sababu tunastahili, hapana. Wakati mwingine ni kwa ajili ya kutujenga, kutufundisha, na kutuandaa kwa kile kinachokuja mbele yetu.
Usikate tamaa katikati ya story yako. Mungu bado hajaandika mwisho wake. ☺️
Nisikie Amen kutoka huku nyuma.