@PresenterNoah Hivi nyie mmesoma vyuo gani!?.Hivi mnajua maisha ya UDSM afu ukae Mabibo hostel kweli.Afu uwe na uhakika wa pesa za kula tu na kuvaa.CHUO maisha ni matamu balaa
@nyuki_malkia Afu unakuta unatamani ata kumuona tu,lakini yeye kazuia kila kitu kitakachokufanya umuone kirahisi,ata kama ulikuwa unapajua alipokuwa anaishi,basi anahama kimya kimya ili tu usije kumpata😂🙌.hiyo ni bonge moja la psychological torture🙌
@nyuki_malkia Afu unakuta unatamani ata kumuona tu,lakini yeye kazuia kila kitu kitakachokufanya umuone kirahisi,ata kama ulikuwa unapajua alipokuwa anaishi,basi anahama kimya kimya ili tu usije kumpara😂🙌