Maybe we don’t know about time, time is illusion, you can stop time or slow it but you can’t stop the reality. Time has nothing to do with the environment.
Mtunze paka wako, mpe chakula kizuri, asitamani na asile panya wa nje, ale panya wako tu ila usisahau km huyo ni paka, hatoacha kula panya, ikitokea amekula panya wa nje, msamehe, mrudishe ndani, ni paka wako. #PussyCat
Ukiona mkeo ana urafiki na wamama wa mitaani hasa wale waliotelekezwa au walioshindwa ndoa zao au waliooletewa mke wa 2 au waliofiwa na waume zao, my Brother ndoa yako iko hatarini, chukua hatua mapema, watamzuzua mkeo, ukichelewa utalea watoto sio wako.
Sifa kuu 3 za Mwanaume ili aweze kukaa na Mwanamke na kumfanya Mke.
1. Kumsamehe mkewe hata akigongewa.
2. Kulea watoto wote hata ikiwa mmoja wapo sio wa kwake.
3. Kutokukataa mimba/mtoto.
NB: Kama huna sifa hizo, wewe bado ni Mvulana na sio Mwanaume, usioe, usije ukajiua!