Jioni nilikuwa nimechoka namna hatari sana. Kufika nyumbani napata kihihi changu kiko tu hapo na mama yake wanangoja unga... Saa zingine nakasirikanga namna hatari sana naweza hata geuza hii sirikali ya lootall
Hakuna kitu uniuma kama kuamka asubuhi nikijua am still not where I want to be in life. Kwanza kuna siku fulani karibu niende sayuni nikiwa mjengo buana. Na hii mwili yangu ndogo foreman aliniweka side ya koroga akaacha kina kimani on the other soft side.
@WaruiJohn2 But tbh guys bila wivu or anything. For the past 4 years Arsenal have been on their best track ni Ile tu they have not been lucky. They deserve to win everything this season.