Mungu ni kila kitu kwetu hutupatia tunavyohitaji kupitia watu hivyo usiwasahau waliokuwezesha kufika ulipo,kumbuka walipoteza muda na mali kwa ajili yako.
Kama hamtaenda katika njia ambayo Mwenyezi Mungu anaitaka, basi atawaadhibuni adhabu chungu na wala ninyi hamtamdhuru chochote. Hakika Mwenyezi Mungu ni muweza wa kila kitu..
Sina tabia ya ku-delete fake friends,fake loves,fake promises bali nina tabia ya kuvichukulia poa sana then nasonga mbele zaidi na maisha yangu ila ukikubali kujirudi na kusema tuendelee tutasonga tu utakavyo lakini huwezi niendesha utakavyo.