@HusseinBashe Kuna shida ya utayari na uwezo wa wakulima kuendana na mifumo ya kidigitali wakati wa ununuzi wa mbolea na viuatilifu vya ruzuku, wengi hawajui namba zao, hawana simu, hata kuverify taarifa na code wanazotumiwa ni changamoto. Ni njia nzuri lakini sio rafiki kwa mkulima wa kijijin