π°πππππDAYπ°
π #CAFCL
π Al Ahly
ποΈ 23 January 2026
ποΈ Borg El Arab
β±οΈ 12:00 Jioniπͺπ¬ | 1:00 UsikuπΉπΏ
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
π°ππππ ππππππ°
π #CAFCL
π Al Ahly
ποΈ 23 January 2026
ποΈ Borg El Arab
β±οΈ 12:00 Jioniπͺπ¬ | 1:00 UsikuπΉπΏ
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
Sheria za Fifa zingekuwa zinaruhusu kupokonywa Goli baada ya Match.
Hawa washenzi wa Tabia wasingekuwa na la kuongea!
But all in all
Sisi sio milima Tutakutana tena!!π«΅
Video kwa Comments π
#UPDATES Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Dkt. Damas Ndumbaro, leo tarehe 30, June ameongozana na mke wake kufika katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Songea kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge kwa kipindi kingine kupitia tiketi ya chama hicho.
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu, Dkt. Ndumbaro alisema kuwa katika kipindi chake cha uongozi amefanikisha mambo mengi kwa maendeleo ya wananchi wa Songea Mjini. Aliongeza kuwa lengo lake kuu kwa kipindi kijacho ni kuhakikisha Manispaa ya Songea inapandishwa hadhi na kuwa Jiji, hatua ambayo alisema itafungua milango zaidi ya fursa za kiuchumi na kijamii kwa wakazi wa eneo hilo. #EastAfricaTV