Nashukuru… Najifunza kila siku!!
Nashukuru kuwa uko familiar na baadhi ya Kazi zangu pia. I hope ulipendezwa nazo; na ukitaka zaidi zote zinapatikana kwenye digital platforms. UKITAKA KUNUNUA DIRECTLY KARIBU PIA
@Wakazi Najua nyimbo zako chache sana ila kuhusu mziki we jamaa upo mbali sana. Unajua vitu sana kuhusu mziki. Elimu hii unayoitoa hapa, Hawa wapenda matukio hawawezi kukuelewa hata ungefanyaje.
@shaffihdauda1@MasterTindwa Ukimsikiliza Kwa haraka haraka unaweza kuhisi @MasterTindwa anachambua kishabiki ila Ukimsikiliza Kwa umakini mkubwa ndio unagundua kumbe ni kweli ni shabiki kindakindaki wa Moja nguvu
@Roma_Mkatoliki Baada ya kifo ni hukumu ndivyo maandiko yanavyosema. Izo lugha za kuombeana nahisi ni kufarijiana tuu
Namm huwa najiuliza, kama tunaweza kumuombea mtu asamehewe dhambi zake na pengine ni kweli anasamehewa, kwanini watuambie tuache dhambi ilihali tukiombewa tutasamehewa?🤔