@INFLUENCERjr Aliwataja timbulo kwenye nyimbo yake fln hivi,hao walikua watuma Salam na wasalimiwaji kupitia vipind vya redio..vie vile zile kadi za Salam,niliwahi kununua Moja ila haikusomwma🤣🤣
@kasesco_tz 😁😁 a good caption...ubungo kipind icho n stand kuu Kuna jamaa aliwahi kunitukana alikua anaingiza mkono kwenye mfuko wa suruali nikamdaka akasema "acha use**e bro unashtuka shtuka kama mb** Iko matak**n,unadhan ntakuibia hako ka sim kako ka kikum** had leo nakumbuka hayo matusi
Sio kwa ubaya tulivokuwa chuo kuna wanetu walikuwa wanaitana macomrade kwa kipindi kile walikuwa wanahisi washayapatia maisha.
Tulivoingia kitaa wote milio ile ile😁ucomrade umeishia kuwadissapoint vibaya mno📌😁